Nafasi na Ngazi za Afya zilizopewa Kipaumbele Ajira Tamisemi 2022


Nafasi na Ngazi za Afya zilizopewa Kipaumbele katika Ajira zilizotangazwa na kutolewa na Tamisemi mwaka 2022, Uuguzi (Nursing) imeongoza kwa idadi kubwa ya walioajiriwa katika Nafasi hiyo.

Kuna Ngazi na Nafasi za Afya zimepanguwa watu wengi na nyingine wamepangwa watu wachache na hii ni kulingana na uhitaji. 

1. Muuguzi Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 3,076.

2. Tabibu Daraja la II (CO) -  waliopewa Ajira ni watu 1,273.

3. Daktari Daraja la II (MD) - waliopewa Ajira ni watu 652.

4. Msaidizi wa Afya (Medical Attendant) - waliopewa Ajira ni watu 400.

5. Mteknolojia wa Dawa Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 250.

6. Mteknolojia wa Maabara Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 200.

7. Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 180.

8. Mteknolojia Msaidizi Maabara - waliopewa Ajira ni watu 150.

9. Fundi Sanifu vifaa Tiba (Biomedical Engineering Technician) Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 102.

10. Mfamasia Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 102.

11. Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja la II - watu waliopewa Ajira ni 100.

12. Afisa Muuguzi Daraja la II (NO) - waliopewa Ajira ni watu 70.

13. Katibu wa Afya Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 70.

14. Tabibu wa Meno Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 69.

15. Tabibu Msaidizi - waliopewa Ajira ni watu 56.

16. Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 50.

17. Afisa Lishe Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 42.

18. Mteknolojia wa Mionzi Daraja la II - waliopewa Ajira ni watu 34.

Jumla ya waliopewa Ajira Kada ya Afya ni watu 6,876.... 

ambapo Watu 42 kati yao ni wenye Ulemavu wa aina tofauti tofauti, na 6,834 ni watu wasiokuwa na Ulemavu wa aina yoyote ile. 

Source : Tamisemi 2022.

Kufahamu zaidi Tembelea kurasa zetu kuanzia Instagram, facebook, twitter, TikTok, YouTube na Google website yetu ya Focus Digito. 



Follow @focus_digito 


#FocusDigitoUpdates

Admin-01

"You Can't be successful by just taking Easy Options"

Post a Comment

Leave a Comment, Tell us and the Audiences in Focusdigito.com anything in your Mind Today.

Previous Post Next Post