Kozi Zote za Ualimu Zilizopewa Kipaumbele Ajira Tamisemi 2022 | Sekondari na Msingi.


Kozi za Ualimu zilizopewa Kipaumbele kwenye Ajira/Nafasi za kazi  zilizotangazwa na Kutolewa na Tamisemi Mwaka 2022.

Katika Ajira zilizotolewa na Tamisemi Kuna baadhi ya Kozi au Viwango vya Elimu wamechukuliwa walimu wengi na nyingine wachache, wengine wamepangiwa Shule za Sekondari na wengine Shule za Msingi.

📝 Secondary School (Shule za Sekondari).👇 

1. Bachelor Degree Education (Science)

-Walimu waliopangiwa kazi ni 1,768.

2. Diploma in secondary Education (science) - Walimu waliopangiwa kazi ni 1,901.

3. Bachelor's degree Education (Arts) -Walimu waliopangiwa kazi ni 680.

4. Diploma in secondary Education (Arts) - Walimu waliopangiwa kazi ni 360.

5. Bachelor degree Education (Business) - Walimu waliopangiwa kazi ni 70.

6. Diploma in secondary education (Business) - Walimu waliopangiwa kazi ni 16.

7. Diploma in Secondary Education (physical education) - Walimu waliopangiwa kazi ni 5.


Jumla Walimu waliopangiwa kazi Shule za Sekondari = 4,800.


📝 Primary Schools (Shule za Msingi). 👇 


1. Certificate in Primary Education - Walimu waliopangiwa kazi ni 2,195.

2. Diploma in Early Childhood Education - Walimu waliopangiwa kazi ni 1,000.

3. Diploma in Primary Education - Walimu waliopangiwa kazi ni 1,000.

4. Bachelor of Education in Early childhood education- Walimu waliopangiwa kazi ni 500.

5. Certificate in primary education (Special Education) - Walimu waliopangiwa kazi ni 135.

6. Diploma in Secondary education (Arts)-Walimu waliopangiwa kazi ni 79.

7. Bachelor's degree Education (Arts)-Walimu waliopangiwa kazi ni 74.

8. Certificate in Early childhood Education - Walimu waliopangiwa kazi ni 15.

9. Certificate in primary education (physical Education)-Walimu waliopangiwa kazi ni 2.


Jumla Walimu waliopangiwa kazi Shule za Msingi = 5,000.


📝 Jumla ya Walimu waliopangiwa kazi Sekondari na Msingi = 9,800.


Follow @focus_digito Instagram.


Kufahamu Zaidi Tembelea Instagram, Facebook,twitter,youtube,tiktok kwajina la Focus Digito. 



#FocusDigitoUpdates

Admin-01

"You Can't be successful by just taking Easy Options"

Post a Comment

Leave a Comment, Tell us and the Audiences in Focusdigito.com anything in your Mind Today.

Previous Post Next Post