Kisa Umbo Wazazi wataka Mwalimu afukuzwe Kazi Shuleni Watoto hawaelewi


WAZAZI WAOMBA MWALIMU AFUKUZWE KAZI KISA UMBO LAKE LINAPOTEZA UMAKINI WA WATOTO WAO SHULENI. 

Wazazi katika Mji wa New Jersey Marekani wamemjia Juu Mwalimu wa Sanaa anayefundisha darasa la watoto kwenye moja ya shule Mjini humo wakiomba afukuzwe Kazi kutokana kile wanachodai kuwa Umbo lake na Mavazi yake vinapoteza Umakini wa Watoto wao ambao ni wanafunzi wa Shule hiyo na Binti huyo ni Mwalimu wao wa Sanaa Shuleni hapo. 

Mwalimu huyo ni Maarufu pia kwenye Mtandao wa Instagram ambapo upandisha mara kwa mara picha za Mwonekano wake akiwa Shuleni na wanafunzi au akifanya na kushiriki michezo au burudani MbaliMbali ndani na Nje ya Shule. 

Wakati ambapo kuna Wazazi wanaotamani afukuzwe kazi shuleni hapo, wapo Wazazi wengine wanamtaka abadirishe mtindo wa Mavazi yake na aanze kuvaa Mavazi yanayofunika na kuficha Umbo lake. 

Lakini kwa Sheria za kazi Mji wa New Jersey nchini Marekani, sio sahihi kwa Shule kumfukuza kazi Mwalimu kutokana na Mwonekano wake wa Nje, kilichopelekea kutokuwepo kwa hatua yoyote iliyochukuliwa Dhidi ya Mwalimu huyo wa Sanaa kuendana na Malalamiko na Madai ya Wazazi wa Watoto shuleni hapo. 

Nini Maoni yako wewe Seneta Mpambanaji (Ungekuwa Mkuu wa Shule hiyo ungechukua Hatua gani¿¿?)... nasoma Comments.

Follow @focus_digito on Instagram 

Kuona Picha Zaidi Bofya hapa 
Au







Kuona Picha Zaidi Bofya hapa 
Au

Admin-01

"You Can't be successful by just taking Easy Options"

Post a Comment

Leave a Comment, Tell us and the Audiences in Focusdigito.com anything in your Mind Today.

Previous Post Next Post