Sadio Mane | Walinicheka Niliposema Nitakuwa Mchezaji Mkubwa na Kuchezea Klabu kubwa za Mpira wa Miguu Nje ya Nchi


Sadio Mane:- "Nilipokuwa Mdogo, nilikuwa nikimwambia kila Mtu kuwa siku Moja nitakuwa Mchezaji Mkubwa na Kuchezea Klabu kubwa za Mpira badala yake walinicheka sana. Haikuwa ni Kwasababu walifikiri sikuwa na Kipaji cha Kutosha ila ilionekana kama ndoto yaani haiwezekani Mtu kutoka Senegal kwenda Nchi za Mambele. Lakini kila Mara nilijua ndoto ya Kufika Mbali ilikuwa Ndani yangu. "

"Sipendelei sana Kununua Magari ya Gharama au vitu Ghari vya Kijanja. Kipaumbele changh mara zote ni kuhakikisha watu wangu wa senegali wanapata chakula kabla ya kulala, Huduma nzuri za Hospitali na Shule."


"Sitapumzika wala kutulia mpaka pale nitakapo leta Mabadiriko chanya kwenye Jamii yangu. Na kiukweli nafurahi na kujivunia wachezaji wenzangu wanaojitunuku Magari ya kifahari na Mijengo ya Maana, yah hizo ni Pesa zao wamezifanyia kazi hivo wako na haki ya Kuzitumia vile wao wanataka. "


"Kwa Sasa nina mipango yangu juu ya namna nitakavyozitumia Pesa zangu. Miaka ijayo na mimi nitaweza kununua Vitu vya Gharama na kujivinjari nitakavyo ila kwa sasa nataka kila Mtu Nyumbani ninakotokea awe katika hali Nzuri ya Maisha. "...... Alisema Sadio Mane. 

Kama Unaunga Mkono Mtazamo wake Dondosha comment moja ya Maana hapo Chini afu Toa Maoni yako kwa Vijana Wenzako wanaodharau Ndoto zao na Kuzikatia Tamaa bila kuwasahau wale wanaosahau Walikotoka. 


(Ishu ni Moja tu, Tuziheshimu ndoto zetu, Tusikate Tamaa na Tukumbuke Tulikotoka maana huko Kumebeba Historia Zetu na Hapa ndipo Baraka Uzaliwa). 



source : Facebook /focus digito

see it on Instagram /focus_digito

Admin-01

"You Can't be successful by just taking Easy Options"

1 Comments

Leave a Comment, Tell us and the Audiences in Focusdigito.com anything in your Mind Today.

  1. Da! Nimepata kituu hapa Mimi pia Nina ndotto ya kuja kuwa Artist musician mkubwa Sanaa ndani na nje! Ya nchi Kow umenitia moyo thanks much.

    ReplyDelete
Previous Post Next Post