Stori Zote na Gharama: Wanauza Vidole Vya Miguu kukabiri Ugumu wa Maisha ZIMBABWE


Bila Shaka umesikia Stori,Jokes na Fununu za watu Kuuza Vidole vya Miguu na Kununua Majumba na Magari ya Kifahari hasa Nchini Zimbabwe. Biashara hii imeshamili sana kutokana na kinachosemekana kuwa ni Ugumu wa Maisha unaowakabiri watu. 


-kidole kikubwa ni dola za kimarekani 40,000 sawa na zaidi ya million 92 za Kitanzania. 

-kidole cha saizi ya kati ni dola za kimarekani 25,000 sawa na zaidi ya million 57 za Kitanzania. 

-kidole kidogo kabisa ni dola za kimarekani 10,000 sawa na zaidi ya million 23 za Kitanzania.

🤔 Na Zoezi hili ni Bila Ganzi.


Zaidi ya hii ya Vidole, kila kukicha Duniani hapa kuna watu wanauza na Kununua Figo na Maini kwa pesa Ndefu pia. 


 "Huwezi kuwa na Uchungu wa Kitu kama Ujui Thamani yake".


Haya ni Makadirio ya Thamani :

1. Masikio (Kila Moja) - $10 = Elfu 23,190.

2. Appendix - $25 = Elfu 57,975.

3. Pua (Nose) - $75 = Laki 173,925.

4. Meno - $75 = Laki 173,925.

5. Ubongo - $150 = Laki 347,850.

6. Mkono na Kiganja - $385 = Laki 892,815.

7. Tumbo - $500 = Milion 1,159,500.

8. Mabega - $500 = Milion 1,159,500.

9. Spleen - $508 = Milion 1,178,052.

10. Sperm (1LHai) - $600 = Milion 1,391,400.

11. Scalp - $607 = Milion 1,407,633.

12. Fuvu na Meno - $1,200 = Milion 2,782,800.

13. Kibofu - $1,219 = Milion 2,826,861.

14. Nywere 10kg - $1,450 = 3,362,550.

15. Mtoto wa Jicho- $1,500= Milion 3,478,500.

16. Coronary Artery-$1,525 = Milion 3,536,475.

17. Utumbo Mdogo-$2,519=Milion 5,841,561.

18. Damu 20L - $3,370 = Milion 7,815,030.

19. Testicles(kila1)-$5,000=Milion 11,595,000.

20. Mifupa - $5,000 = Milion 11,595,000.

21. Skeleton Zima-$7,500=Milion17,392,500.

22. Ovary - $8,000 = Milion 18,552,000.

23. Jicho zima - $19,200=Milion 44,524,800.

24. Bone Marrow-$23,700=Milion 54,960,300.

25. Ngozi - $30,000 = Milion 69,570,000.

26. Uume(Penis)-$75,000=Milion 173,925,000.

27. Tumbo laUzazi-$100,000=Mil 231,900,000.

28. Kongosho-$110,000=Mil 255,090,000.

29. Ini (Liver)-$157,000=Mil 364,083,000.

30. Figo(Kidney)-$200,000=Mil 463,800,000.

31. Mapafu(Lungs)-$272,000=Mil 630,768,000.


32. Utumbo Mpana-$800,000=Bilion 1,855,200,000.


33. Moyo (Heart) - $1,400,000=Bilion 3,246,600,000.


34. Mwili Mzima - $45,000,000 = Bilion 104,355,000,000.


35. Je!  wajua maisha yako yanathamani gani ¿¿¿... Jiheshimu, Jipende, Jitunze, Jilinde. 


Vyanzo nilivyotumia :- DataDrivenInvestor2021, Washingtonpost2015, Seeker2014, Ranker2021, ScienceAlert, Snopes, BloodYellowHouse, Pinterest Posts, YouTube Videos. 

Focus Digito - Home of Originals. 


Tufuatilie Kupitia YouTube, Instagram, facebook, Twitter na TikTok kwa Jina la Focus Digito. 



Admin-01

"You Can't be successful by just taking Easy Options"

Post a Comment

Leave a Comment, Tell us and the Audiences in Focusdigito.com anything in your Mind Today.

Previous Post Next Post